Ni jambo la kushukuru kwa mwanadamu kumaliza mwaka salama,japo ni siku chache zilizobaki ili kumaliza mwaka huu lakini ni muhimu kwangu mimi kuonyesha upendowangu kwenu kwa kufungua blogspot hii,ni kwa faida yangu na yenu pia kwa kujifunza mambo mengi katika maisha haya na kama tunavyojua Amazing power is knowledge.I love you all and I appreciate yor existance in my life.let us have knowledge through this blogspot.
What you learn in 2011 year and what you think have to be avoided in 2012 and why.....?
ReplyDeleteWhat you think knowledge is in considering everythings happen in 2011?
ReplyDeleteUpendo na amani ni mambo ya msingi katika maisha ya mwanadamu bila hayo maendeleo ni vigumu kuyapata........kwa 2012 tuitunze amani tulionayo na kuijali....
ReplyDelete